Country: Dar es Salaam
Hii nyumba Inajitegemea na ina Fremu moja ya Biashara.
Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ipo VIKINDU, Barabara ya KILWA,
Njia ya kuelekea MKURANGA.
Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii nyumba Inajitegemea na ina Fremu moja ya Biashara. Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ipo VIKINDU, Barabara ya KILWA, Njia ya kuelekea MKURANGA. Kiwanja SQM.400. Umiliki ni MKATABA WA M...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-vitatu-3-tshs-12-milvikindu/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.