LKiwanja kina ukubwa wa SQM. 350.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Ni umbali wa mita 700 kutoka Barabara ya Makoka.
Ni nyumba ya KUHAMIA
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.