Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 5 ( Kila Chumba na Choo chake ndani)
Pia kjna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Hapa unapanda Gari moja tu hadi Mjini.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.