HIi nyumba ipo umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro/Temboni.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa pia kuna nyumba ndogo ya Wafanyakazi/Wageni.
Pamoja na Mabanda ya kufugia Kuku.
Vyumba vyote 4 kila kimoja na Choo chake ndani.
Pia kuna Sebule,
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.