Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo ni KWA MAMA STELLA
Ni umbali wa kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Vyumba 4 ( Masta 1) Pia kuna Sebule,
Jiko,Dining-room, Store na
Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.