Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 800.
Kiwanja KIMEPIMWA.
Nyumba ipo umbali wa kilomita 5 kutoka Barabara ya Morogoro.
____________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mp
Ujenzi wa kisasa.
Vyumva 5 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.