Ni nyumba mpya.
Vyumba 3, Sebule,Jiko na Choo.
Ina Tiles,Gypsum, Umeme na Maji safi.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.