Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba vyote 2 kila kimoja kina Choo ndani.
Pia kuna Sebule,Jiko, Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Na Maduka 5 ya Biashara.
Mtaa mtulivu.
Nyumba ipo ndani ya Fensi.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mskvl
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.