Country: Dar es Salaam
Hii ilikuwa ni Hotel ikafanywa Hostel na sasa ipo Sokoni. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Ni umbali wa Mita 200 kutoka Barabara ya Lami. Eneo ni zuri na likiboreshwa vizuri ni Hotel nzuri bado. Vilevile unaweza kubadilisha matumiza na kuifanya shughuli kama Shule ya chekechea, Zahanati au Ofisi nk. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________zw Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii ilikuwa ni Hotel ikafanywa Hostel na sasa ipo Sokoni. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Ni umbali wa Mita 200 kutoka Barabara ya Lami. Eneo ni zuri na likiboreshwa vizuri ni Hotel nzuri bado. Vilevile unaw...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-17tshs-950-milionisinza-e/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.