Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba kubwa Ina vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Banda lenye vyumba 5.
Nyumba ipo ndani ya Fensi na Parking ya Gari 3 ndogo ipo.
NI YAKUHAMIA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.