Country: Dar es Salaam
Hij nyumba ipo wastani wa Mita 200 tu kutoka BarabarayaLami.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita 400.
Umiliki ni MKATABAWAMAUZIANO.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
______________Tp
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Unaweza kujenga ukuta ukapa nafsi kubwa na nzuti kwaajili ya Parking.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hij nyumba ipo wastani wa Mita 200 tu kutoka BarabarayaLami. Kiwanja kina ukubwa wa Mita 400. Umiliki ni MKATABAWAMAUZIANO. ______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe Mnunuzi) ______________Tp Vyumba 3 (Mas...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-kumalizia-ujenzi-bei-rafikipugu/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.