Hii nyumba ipo Mtaa mpana na sehemu ambayo inafaa kuweka nyumba ya kisasa ya kuishi hasa Apartments.
Eneo ni KINONDONI MKWAJUNI,
JIRANI SANA NA KITUO CHA MWENDOKASI KWAJUNI.
Kiwanja kina SQM.200.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.