Hapa ni Sinza jirani na Kanisa Katoliki/LION.
Hili ni jumba la kizamani linalohitaji Uboreshaji mkubwa au kukipiga chini kuweka Jengo la kisasa.
Kiwanja kipo Kona na kuna Ardhi ya wazi pembeni yake, Mmiliki mmoja.
Ukubwa ni SQM.340.
Zenye HATI (Title Deed) ya Wizara.
Pembeni ni zaidi ya SQM.200.
Hivyo jumla unapata zaidi ya SQM.500.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________lamien
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.