Loading…
Views:
TZS170,000,000.00

NYUMBA YA KISASA YA VYUMBA VINE (4) KIHARAKA

0 0 Reviews
Posted on 01 June 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Umbali wa mita 400 kutoka Barabara ya Bagamoyo. 

Ni mbele kidogo baada tu ya Daraja la Bunju B,

Upande wa kulia ukielekea Bagamoyo. 

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.

Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. 

Vyumba vya kulala 4 (Masta 1)

Sebule,Jiko,Dining-room,Store na 

Choo cha Familia ndani. 

Nyumba ina AC, Garden na 

Parking yakutosha. 

___________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000 

(Unalipa wewe Mnunuzi)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

____________jKG


Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS170,000,000.00

NYUMBA YA KISASA YA VYUMBA VINE (4) KIHARAKA

0 0 Reviews
Posted on 01 June 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top