Unaweza kuingilia BUZA au kupitia KITUNDA.
Nyumba ipo Mtaa mzuri mpana na panafaa kuishi Familia kubwq au kuifanya Ofisi, Zahanati au Shule ya Chekechea.
Vyumba vyote 6 vina Vyoo ndani.
Pia kuna Sebule,Jiko Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina Servant’s Quarter nzuri na Parking kubwa yenye Paving Blocks.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 900
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
___________ptb
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.