Ni nyumba kubwa yenye nafasi, ambayo ipo mtaa mzuri na jirani na Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuiona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.