Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 945.
Umiliki ni HATI (Title Deed ) ya Wizara.
Nyumba nzuri ya Ghorofa yenye Sakafu mbili na ambayo ujenzi wake ni wa kisasa.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
________________dUk
Vyumba vyote 4 ,kila kimoja kina Choo ndani.
Pia kuna S3bule,Jiko,Dining,Store na Choo cha Familoa ndani.
Parking kubwa yenye paving na Nyumba ina AC na ipo ndani ya Ukuta salama.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.