Loading…
Views:
TZS58,000,000.00

NYUMBA-TATU PAMOJA, MAJOHE-VIWEGE/GONGOLAMBOTO.

0 0 Reviews
Posted on 28 April 2025

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms: more than 4
  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: Apartment , House
  • Available for: Sale

Description:

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hizi nyumba kwa jumla zina Vyumba vya kulala sita(6) Nyumba kubwa Ina vyumba 3(Masta 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani. Nyumba ya pili Ina vyumba viwili(2) Sebule,Jiko na Choo kimoja cha Familia. Nyumbabya Tatu ina Chumba kimoja(1) Choo na Jiko lake. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI)   Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________mpg   Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.    

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS58,000,000.00

NYUMBA-TATU PAMOJA, MAJOHE-VIWEGE/GONGOLAMBOTO.

0 0 Reviews
Posted on 28 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top