Kiwanja kina ukubwa mita za mraba 400.
Umikiki ni Mkataba wa Mauziano.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
________________mpg
Imejengwa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna Duka moja.
Parking safi ndani ya Fensi.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.