Hii ni nyumba mpya YA-KUHAMIA.
Haihitaji kurekebisha chochote.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________
Nyumba imara iliyojengwa kisasa.
Vyumba 3 ( 2 vina vyoo vyake ndani) pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Tiles, Gypsum, Dirisha za Vioo, Parking kubwa na pia Huduma za Maji safi na Umeme zipo.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.