Eneo ni UBUNGO MAKOKA
HII NI NYUMBA YA KUHAMIA.
Hii ni nyumba ya kisasa.
Vyumba 3 ( Masta 1) Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja SQM.500.
Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.