Nyumba hii ipo ndani ya Fensi na umbali wa Kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Bagamoyo eneo la Tegeta.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Maraba 664.
Umiliki ni HATI (Title Deed)
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
_____________z
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko Dining na ChanFamikia ndani.
Vilevile kuna Frem za Duka 2 zinazohitaji kumalizia ujenzi pampja na Mabanda ya kufugia Kuku.
Ukihitaji kukagua taarifa mape,a tafadhali.