Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 60p.
Umiliki ni HATI (Title) ya Wizara.
Ipo umbali wa Mita 800 tu kutoka Barabara kuu ya Bagamoyo.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________________mpg
Vyumba 3 (Masta1 ) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Hufuma za Umeme na Maji zipo.
Eneo tulivu, salama na lililojengeka vizuti.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.