Loading…
Views:
TZS200,000,000.00

NYUMBA NZURI VYUMBA 6,TUNGUU, UNGUJA-ZANZIBAR.

0 0 Reviews
Posted on 12 September 2024

Country: Zanzibar North

  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:


Hii nyumba inafaa kwa Familia kubwa au kwa Biashara ya kupangisha kama Hostel, AirBnB nk.

Ipo wastani wa kilomita 16 kutoka Stone Town,

Eneo ni Tunguu jirani na SUZA.

Vyumba vyote 6 vina Vyoo ndani.

Ipk ndani ya Fensi safi.

Eneo ni salama na tulivu pia.

______________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuina ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe Mnunuzi)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu 

______________


Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali. 


Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS200,000,000.00

NYUMBA NZURI VYUMBA 6,TUNGUU, UNGUJA-ZANZIBAR.

0 0 Reviews
Posted on 12 September 2024
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top