Eneo ni jirani sana na Mbagala Rangitatu/KITUO CHA MWENDO KASI.
Wastani wa Dakoka 10 kutembea na si mbali na Barabara ya Lami.
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 500.
HATI (Title Deed) ya Wizara ipo.
HAPA UNAISHI KWA RAHA NA UNAINGIZA KIPATO (Kupangisha Maduka)
____________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________________
Nyumba kubwa ina jumla ya Vyumba vya kulala vinne(4) ambapo vyote vina Vyoo ndani.
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining,
Store na Choo cha Familia bdani.
Vilevile kuna Chumba kimoja cha pembeni chenye Sebule yake nzuri.
Ina Kisima cha Maji matamu.
Finishing safi ya Tiles,Gypsum,
Dirisha za Vioo na Parking ya kutosha.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.