Kiwanja kina ukubwa wa mita za Mraba 4,000 (Elfu Nne)
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________TrP
Vyumba 5 (Masta 1) Pia Ina Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Panafaa kuishi na kufanya ufugaji au kujenga nyumba zaidi za kupangisha au kutoa huduma kama Zahanati, Shule ya Watoto nk.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.