Loading…
Views:
TZS45,000,000.00

NYUMBA/MSINGI VYUMBA 10, INAUZA BANK, KILIMAHEWA

0 0 Reviews
Posted on 04 March 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Eneo ni KILIMAHWE JUU.

Unaingilia MBUYUNI au AFRIKANA.

Nyumba ni ya vyumba 3.

Pia kuna Msingi wa Ghorofa ya vyumba 10.

Ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.

Kiwanja kina ukubwawaSQM. 400.

Umilikini MKATABAWAMAUZIANO. 

Watu wa Biashara ya kupangisha 

Hapa usijiulize, wahi njoo.

_____________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

______________jj

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 



 

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS45,000,000.00

NYUMBA/MSINGI VYUMBA 10, INAUZA BANK, KILIMAHEWA

0 0 Reviews
Posted on 04 March 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top