LKiwanja kina ukubwa wa SQM.700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii ni nyumba ya kisasa inayojitegemea.
Ina vyumba 3.
Pia kuna Banda lenye vyumba 5.
Hapa pia kuna KISIMA cha Maji.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________rr
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.