Country: Dar es Salaam
Hii ni nyumba ya kileo ambayo ipo umbali wa mita400 tu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. KIWANJA KIMEPIMWA (Hati kutoka kwa jina la mnunuzi) Mjengo ni aina ya KUFICHA BATI (Contemporary) Vyumba vya kulala vipo vitatu (3) Vyote ni vikubwa na kila kimoja kina Choo chake ndani. Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile kuna Jiko la nje na Choo cha nje. Nyumba ina: ACs, CCTV Cameras, Electric Fence, Garden na Parking yake ina Paving Blocks sifa zake kwa uchache. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________jj Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii ni nyumba ya kileo ambayo ipo umbali wa mita400 tu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. KIWANJA KIMEPIMWA (Hati kutoka kwa jina la mnunuzi) Mjengo ni aina ya KUFICHA BATI (Contemporary) Vyumba vya kulala vipo vitatu (3) Vyote...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mpya-ya-kisasa-vyumba-vitatu-3-madale/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.