Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500.
Umiliki ni MAKTABA WA MAUZIANO.
Nyuma kuna vyumba viwili vinavyojitegemea.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________mpg
Ujenzi wa kisasa.
Nyumba ipo ndani ya Fensi kwa usalama.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining,Store an Choo cha Familia ndani.
Parking kubwa yenye paving na vilevile kuna Maji ya Dawasco.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500. Umiliki ni MAKTABA WA MAUZIANO. Nyuma kuna vyumba viwili vinavyojitegemea. _______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe Mnunuzi) Wasiliana nami iwapo tu unaridhia tara...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mpya-vyumba-vitatu3-mbezi-msakuzi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.