Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 400.
Umiliki ni Mkataba wa Mauziano.
Ipo umbali wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
———————————
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unarodhia taratibu zangu.
———————————
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Bei ni Tshs.100 Milioni.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.