Ipo jirani na Baranara ya Lami
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
NI NYUMBA YA KUHAMIA,
KIFUPI HUHITAJI HATA KUIFAGIA AU KUPIGA DEKI.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Vyumba 4 (2 Vyok ndani)
Pia ina Sebule,Jiko, Dining, Store na Choo cha Familoa ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.