Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3( Masta 1) Sebule,Jiko,
Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Umeme upo na ipo ndani ya Fensi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________tp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.