Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500.
Umiliki ni Mkataba wa Mauziano.
Zimejengwa kwaajili ya Kuoangisha ambapo kila moja in jumla ya vyumba 7.
Hudumacza Umeme na Maji zipo.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipacwewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tubunaridhia taratibu zangu.
_______________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.