Ni umbali wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 800 na kuna Fensi.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10 %
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Nyumba kubwa Ina vyumba 3(Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ndogo inavyumba 2 (Masta 1) Sebule, Jiko la wazi, Dining, Store na Choo
Kila moja Ina LUKU yake..
Tiles,Gypsum, Dirisha za Vioo na parking Safi na kubwa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.