Hizi nyumba zipo ndani ya Fensi na katika Kiwanja kimoja.
Eneo ni ZINGA, BAGAMOYO ROAD.
Umbali wa kilomita 52 tu kutoka Dar Mjini Mita 200 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo/Dar.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 1000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba zote zimejengwa kisasa na kila moja inajitegemea.
Kubwa ina Vyumba 3 (Masta1)
Na ya pili ina Vyumba 2 (Masta 1)
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia tarstibu zangu.
________________hmmc
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.