Hizi nyumba zimetenganishwa na Barabara.
Zipo Ukuni, Bagamoyo.
Ni za kisasa, kila moja ina nafasi na ni nzuri.
1.Ina jumla ya vyumba 3 (Masta 1)
Sebuke,Jiko,Dining,Store na Choo cha Familia ndani.
Parking ipo.
Kiwanja kina ujubwa wa SQM.800.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Bei Tshs.75 Milioni.
2.Hii ina jumla ya vyumba 4 (Masta)
Pia Sebule,Jiko,Dining,Storw na Chok cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 1,200.
Parking ipo.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kukna ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________
Nyumba zote zimejengwa kisasa
Na finishing ni za Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafdhali.