Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ni nyumba ya kwenye Kona.
Na zipo mbili kwenye Fensi.
Parking pia ipo.
Kubwa Ina vyumba vya kulala 3 na nyingine Ina vyumba 2 vya kulala.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
______________kmS
Kuna nyumba mbili:
Moja ina Vyumba 3 (Masta 1)
Ya pili Ina vyumba 2 (Masta 1)
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.