Kiwanja kina ukubwa wa 1,000 SQM.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba zote 2 kila moja inajitegemea.
Kubwa:
Ina vyumba vya kulala 4 (3 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ya pili:
Ina vyumba 2 vya kulala (Masta 1)
Pia Ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Zipo ndani ya Fensi nzuri na usalama upobwa kutosha.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
_______________tp
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.