Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba moja Ina vyumba 5 vya kulala.
3Kati yake 3 vina vyoo ndani.
Nyumba ya Pili Ina vyumba 3 vya kulala.
Ambapo kimoja ni Masta.
Kila moja ina Sebule,Jiko, Store na Choo cha Familia.
Pia kuna Banda la kufugia Kuku.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________tp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.