Country: Dar es Salaam
Ni nyumba yenye nafasi ambayo ipo umbali wa kilomita 1 (moja) tu kutoka Barabara ya Morogoro/Kituo cha Mwendokasi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.
Umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Jumla kuna vyumba vya kulala vitano (5)
[ Vyumba viwili vina vyoo ndani ]
Vilevile kuna Sebule,
Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna FREMU ZA BIASHARA 5,
Na zote zina Wapangaji kwa sasa.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
Ni nyumba yenye nafasi ambayo ipo umbali wa kilomita 1 (moja) tu kutoka Barabara ya Morogoro/Kituo cha Mwendokasi. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000. Umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Jumla kuna vyumba vya kulala vitano (5) Vilevile ku...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-kubwa-ya-vyumba-vitano-5-kimara-mwisho/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.