Ipo umbali wa kilomita 9 kutoka Barabara ya Morogoro/MAGUFULI Terminal na ni kilomita 4 kutoka MADALE MWISHO.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 800.
Umiliki ni MKATABA WA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali