Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 1,600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO :
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuiba ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________mpg
Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Ni nyumba yakuhamia.
Mtaa tulivu na uliijengeka vizuri.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.