Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni nyumba mpya YAKUHAMIA.
Vyumba 4 ( Masta 1)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Parking yakutosha.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
____________r
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.