Hii ni nyumba ya kisasa ya KUHAMIA .
Kubwa lioo eneo la kujenga zaidi ukipenda.
MUNGU AKUPE NINI?
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa mita 300 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.