Imejengwa kisasa.
Vyumba 3 ( 1 ni Masta) Sebule,Jiko, Choo.
Kiwanja SQM.40.
Umiliki ni MAKATABA WA MAUZIANO.
WAHI UJIPATIE KAKO
KUMBUKA INAUZWA KWA DHARURA HII NA BEI YAKE HALISI SI HII.
_______________
ANGALIZO:
———-
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo unaridhia taratibu zangu.
_______________mpg