Hii ni nyumba kubwa ya kisasa na yenye nafasi.
Ipo jirani na Hospitali ya Wilaya na Kituo cha Daladala.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,400.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 3 ( Masta1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Kuna Kisima na Pia Parking ni kubwa na yenye Paving.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.