aju’ upo Mwendo mfupi tu kutoka Kituo cha Daladala za Mwendo Kasi pale RANGITATU.
Ni Nyumba kubwa yenye jumla Vyumba 4 vya kulala
(3 vina Vyoo ndani)
Pia kuna ‘Fremu’ za Biashara 4, zote zina Wapangaaji kwa sasa vilevile kuna Nyumba ndogo ya Uwani ambayo pia inajitegemea na-ina Sebule na Jiko lake ndani kwa ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Ujenzi wa kisasa na Mazingira rafiki kuishi.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.