Hizi nyumba kila moja ina vyumba viwili (2) vya kulala.
Kila moja inajitegemea, ikiwa na Masta 1,Sebule na Jiko.
Na kila moja ninajitegemea huduma za umeme na Maji.
Na kuna Kisima cha Maji.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.