Kiwanja kina ukubwa wa SQM.420.
MKATABA WA MAUZIANO.
Ni njia ya kuelekea KIVULE na ni jirani na Kituo cha Daladala.
Ni za vyumba 2,Sebule na Choo cha ndani.
Kila nyumba ina LUKU yake na Mita yake ya Maji.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.